Kusongesha kile chenye thamani -
kuunganisha Watu, biashara, na fursa
kupitia usafirishaji bora na unaotegemeka.
5
20
3*
*Vituo Dar es Salaam
5 Wasafirishaji
Tumeaminiwa na Biashara 20
3 Vituo*
*Dar es Salaam
Tunatoa huduma za usafirishaji zinazolenga kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wa kati, kwa kupunguza pengo kati yao na wateja wao. Pia tunatoa vifungashio kuhakikisha mizigo yako yanalindwa vizuri wakati wa usafirishaji.
Tunatoa huduma kila kona ya Dar es Salaam, Jumatatu - Jumamosi.
Hatusafirishi vyakula, mazao ya shambani, pesa taslimu, vito, au fataki. Kwanini?.
Huduma linalogharimu kidogo kwa usafirishaji usio wa dharura. Huduma hili ni bora kwa mizigo ya kawaida au ya wingi.
Usafirishaji ndani masaa 6 baada ya kuchukuliwa
Bei zetu
Pata makadirio
Huduma ya haraka kwa usafirishaji wa dharura. Huduma hii inapatikana kwa mizigo yenye uzito wa hadi kilo tano (5).
Usafirishaji ndani masaa 2 baada ya kuchukuliwa
Bei zetu
Pata makadirio*Hutofautiana kulingana na umbali
